Mpenzi wangu aliniomba nimnunulie simu kali ili tuwasiliane vizuri,
nikamnunulia simu ya laki 6. Juzi nikiwa naye nikaangalia simu yake
bila yeye kujua nikakuta kuna jamaa ana mahusiano naye na picha
hutumiana na kukutana kinyemela.
Nishaurini nikachukue simu yangu au nivumilie?
No comments:
Post a Comment