MAJINA MAPYA YA KIKOSI CHA YANGA,KUCHEZAKOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limepitisha majina ya wachezaji
wanne wapya wa Yanga, kipa Benno Kakolanya, Hassan Ramadhan ‘Kessy’,
Vincent Andrew Chikupe na Juma Hassan Mahadhi kucheza Kombe la
Shirikisho.
Toa maoni yako
No comments:
Post a Comment