Katibu
Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad akiwa nchini
Marekani, ataka iundwe serikali ya mpito visiwani Zanzibar itakayokaa
kwa muda usiozidi miezi 6 ili uandaliwe uchaguzi mpya visiwani humo,
huku akiweka sharti kuwa uchaguzi huo wa marudio usimamiwe na Umoja wa
Mataifa badala ya ZEC inayoongozwa na Salim Jecha, pia serikali ya mpito
iundwe na watu wasiofungamana na upande wowote wa kisiasa.
No comments:
Post a Comment