Staa wa Bongo Fleva, Abdul Kiba ametolea ufafanuzi kuhusu taarifa
iliyosambaa mitandaoni kujiunga na WCB WASAFI ambayo inamilikiwa na
Diamond Platnumz.
Akiaongea na cloudsfm.com Abdul Kiba ambae ni mdogowake na msanii Abdul Kiba alieleza.
‘’Ni kweli nilizungumza hiyo lakini wengi wao waliitafsiri vibaya
kauli yangu kwasababu ukizungumzia mtonyo nilimaanisha kwamba nina uwezo
wa kufanya nao kazi aidha ikitokea labda ‘featuring’ au kuna shoo
naweza nikashirikiana nao kwa sababu ni mkataba utatakiwa upite hapo
then pesa imwagike nifanye nao kazi ila siku maanisha kwamba nina uwezo
wa kuhama ‘lebo’ kutoka hapa nilipo kwenda kwao, nadhani wengi wao
waliipokea kauli yangu vibaya’
No comments:
Post a Comment