MSHAURI HUYU DADA
Niliumizwa sana na mapenzi katika maisha yangu,
lakini akaja kutokea mkaka mmoja nikampenda, naye akanipenda, akanifanya
nisahau maumivu yote niliyopitia, tatizo huyu mpenzi wangu anavuta sana
bangi mpaka naogopa, ila kiukweli ndiye mwanaume pekee aliyenifanya
nifurahie mahusiano. Nifanyeje maana nimemshauri kuacha bangi hataki.
No comments:
Post a Comment